Description
Ongeza mvuto wa kipekee kwenye nyumba yako kwa Luxury Blue Double Layer Curtain, linalojumuisha pazia kuu lenye muundo wa kisasa na sheer nyeupe yenye embroidery laini katikati.
Muundo wake wa kipekee na rangi ya blue hufanya pazia hili kufaa kwa nyumba za kisasa, ofisi, hoteli na vyumba vya wageni. Sheer huruhusu mwanga wa asili kupita huku pazia kuu likitoa privacy kamili inapohitajika.
✨ Product Details:
-
Aina: Double layer curtain
-
Rangi: Blue na sheer nyeupe
-
Muundo: Embroidered pattern
-
Seti: Pazia 2 + sheer
-
Matumizi: Sebule, chumba cha kulala, ofisi, hotel
-
Ubora: Premium finishing & durable fabric






Reviews
There are no reviews yet.