Description
Ongeza mwanga na mvuto wa kipekee nyumbani kwako kwa Premium Lace Curtain Fabric kutoka China. Lace hili lina muundo wa kifahari, linaingiza mwanga wa asili huku likiongeza uzuri wa pazia lako.
Linauzwa kwa mita moja moja au roll kamili, hivyo mteja ana uhuru wa kununua kulingana na mahitaji yake. Linafaa kutumika kama:
-
Sheer curtain
-
Pazia la ndani (inner layer)
-
Mapambo ya dirisha
-
Hoteli & apartments
Pazia Shop pi
Product Details
-
Aina ya bidhaa: Lace Curtain Fabric
-
Ubora: Premium
-
Muonekano: Transparent, Elegant & Decorative
-
Matumizi: Sheer / Inner curtain
-
Huduma ya kushona: ✅ Inapatikana
a tunatoa huduma ya kushona pazia kwa vipimo vya mteja endapo atahitaji.







Reviews
There are no reviews yet.