Description
Ongeza uhuru wa kuchagua muonekano wa pazia lako kwa Premium Plain Curtain Fabric Roll kutoka China. Kitambaa hiki kina muonekano laini, rangi tulivu na ubora unaodumu kwa muda mrefu.
Kinapatikana kwa roll kamili au kwa mita moja moja, hivyo mteja anaweza kununua kulingana na mahitaji yake. Pia Pazia Shop tunatoa huduma ya kushona pazia kulingana na vipimo vya mteja kwa malipo ya ziada.
Kitambaa hiki kinafaa kwa:
-
Sebule
-
Vyumba vya kulala
-
Ofisi
-
Hoteli & apartments







Reviews
There are no reviews yet.