Premium Plain Curtain Fabric Roll – China Quality

Price range: TZs35,000.00 through TZs1,400,000.00

Kitambaa cha pazia cha ubora wa juu kutoka China, kinapatikana kwa roll kamili au kwa mita. Rangi mbalimbali za kisasa, kinafaa kushonwa pazia la nyumbani, ofisini au hotelini.

Description

Ongeza uhuru wa kuchagua muonekano wa pazia lako kwa Premium Plain Curtain Fabric Roll kutoka China. Kitambaa hiki kina muonekano laini, rangi tulivu na ubora unaodumu kwa muda mrefu.

Kinapatikana kwa roll kamili au kwa mita moja moja, hivyo mteja anaweza kununua kulingana na mahitaji yake. Pia Pazia Shop tunatoa huduma ya kushona pazia kulingana na vipimo vya mteja kwa malipo ya ziada.

Kitambaa hiki kinafaa kwa:

  • Sebule

  • Vyumba vya kulala

  • Ofisi

  • Hoteli & apartments

Additional information

Color

pazia, roller/jora

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Premium Plain Curtain Fabric Roll – China Quality”

Your email address will not be published. Required fields are marked *