Soft Blanket ya Kisasa – Nyepesi, Nene na ya Kupasha Joto

TZs30,000.00

Blanketi laini sana, lenye joto la kutosha kwa matumizi ya nyumbani au ofisini. Limerembwa kwa design ya kisasa, linalofaa kwa majira ya baridi au kupumzika jioni ukiwa nyumbani.

Description

 

Leta hisia za faraja na joto nyumbani kwako kwa kutumia soft blanket hii ya ubora wa hali ya juu. Imetengenezwa kwa material ya velvet laini sana upande wa juu, na upande wa pili ikiwa na fleece laini na joto, inayofaa kwa kujifunika wakati wa baridi, kulala au kutazama TV.

Faida kuu:

  • Material: Velvet + Sherpa fleece

  • Rangi: Kijani bahari (aqua green)

  • Nyepesi, lakini inatoa joto la kutosha

  • Inafaa kwa watoto, watu wazima, vyumba vya kulala, sebule au ofisi

  • Rahisi kufua kwa mashine

  • Ukubwa: Wastani (inatosha mtu mzima kujifunika)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Soft Blanket ya Kisasa – Nyepesi, Nene na ya Kupasha Joto”

Your email address will not be published. Required fields are marked *