Description
Leta hisia za faraja na joto nyumbani kwako kwa kutumia soft blanket hii ya ubora wa hali ya juu. Imetengenezwa kwa material ya velvet laini sana upande wa juu, na upande wa pili ikiwa na fleece laini na joto, inayofaa kwa kujifunika wakati wa baridi, kulala au kutazama TV.
Faida kuu:
-
Material: Velvet + Sherpa fleece
-
Rangi: Kijani bahari (aqua green)
-
Nyepesi, lakini inatoa joto la kutosha
-
Inafaa kwa watoto, watu wazima, vyumba vya kulala, sebule au ofisi
-
Rahisi kufua kwa mashine
-
Ukubwa: Wastani (inatosha mtu mzima kujifunika)






Reviews
There are no reviews yet.